Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,242
- 90,420
hahahahaUnaweza kuibadili hali hiyo kwa wewe kuanza kuweka picha yako na kuiacha bila kuifuta. Muda si muda watu wataiga mfano wako na trend hiyo itabadilika.
Usiishie kulalamika tu. Be the agent of change...and the change starts with you.
Haya selfika sasa![]()







