Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Weee
Unapenda na helaaa.. pesa nayo ni mpenzi mzuri tuuu
![]()
Unapenda na helaaa.. pesa nayo ni mpenzi mzuri tuuu
![]()
Huwa unapaka mwenyewe home au hupaki rangi kabisa?Mimi bwana naona ashki ziko kwa unyayoo!!siwezii!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂😂Tobaaa🙆
Asante hisabati za kudivide..zimetuchinjia baharini kutoka moja tumebaki nusu
Huwezi kosa vyote aseee 🙄🙄🙄Unatuzungumziaje ambao hatuna vyote🙆
Huwezi kosa vyote aseee![]()
Nini mbona mgunooo 😊😊😊.. alafu mapori mengi, madimbwi ya maji mito etc.. mikeka mnakwenda po hata huko tu mna relux 😂😂Mmmmmmh
Nini mbona mgunooo.. alafu mapori mengi, madimbwi ya maji mito etc.. mikeka mnakwenda po hata huko tu mna relux
![]()
😊😊😊😊 kipindi huu wimbo upo on fire dah! acha tuAah ndani ya medula, yeye ndiyo queen
Na kweli kile ulichonacho kinaweza fanya jambo.. hata musa alikuwa na fimbo tu 😆😆😆😆..Nimeguna ya kwamba "huwezi kosa vyote".
😂😂😂 japo paka sasa sijachana mkekaaa aseeeMimi ni nani
Hata nikubishie
@reymageHuwa unapaka mwenyewe home au hupaki rangi kabisa?

Hongerajapo paka sasa sijachana mkekaaa aseee
