Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji120][emoji120][emoji120]
2022-01-18 08.52.38.jpg
 
Ila watu wa vijijini bwana[emoji23].
Tunasindikiza mtu mmoja ,tunampandisha hadi ndani ya gari...tunampungia mkono...
Bado tunasubiri kuona gari linavyoondoka ili tumpungie tena.
Wanyaki ndo pigo zenu hizoo!!!hapo mnatamani muikimbile gari kwa bodaboda pia![emoji1]

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom