Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Pep unamuona shemeji yako lakini anachonifanyia🤦♀️Haswa Saint Anne lazima alie
Pep unamuona shemeji yako lakini anachonifanyia🤦♀️Haswa Saint Anne lazima alie
Kwa sababu amenihujumu basi siagi😬😬Mdogo wangu nasubiri uage tu hapa maana hamna namna🤣🤣🤣🤣🤣
Timiza ahadi yako
Pep kuna watu hawanipendi😒Katatia huruma leo hehehe
Hiv kwann mnapenda mbavCold rainy Sunday while watching sports...Goes well with barbecued ribs and red wine...
View attachment 2084405
Kama tulivyoonyesha umoja leo kupanbana na chamdeko..basi naomba nikuhakikishie mheshimiwa shemeji ndivyo vivyo hivyo tutaonyesha umoja wetu kukushushia nyundo za utosi siku ukizingua.Hallelujah...
🤣🤣🤣🤣🤣Aliahidi mwenyewe, hamna namna aage tuuu😂😂😂😂
Na yako nimepitwa wiiiiii!

Sasa shemeji yako ntamuachaje nikitoka?Kaliahidi katajitoa JF eeh![]()



Dalili zote zinaonesha dada mkubwa unaweza kukaa na akina shangazi vizuri nikapata 'discount' kwenye mahariKelele moja kwa shem ake wewe. Daah shem ni msweeeeeeet
Kweli maisha yanabadilikaNimekuwa na bahati



Mzee alinipeleka,,,ile anaondoka basi mimi machozi yakaanza kunilenga,nikaenda kulia hostel.The-last-born-effect![]()
Ubarikiwe sana mtumishi mwenzetu....Jamani Kwa heshima na taadhima naomba nichukue fursa hii kulala.niwatakie usiku mwema y’all
😉😉😘😘💕💕💕💕
Saint Anne & Pep msisahau kusali🥰🥰
Hatari sana,gari zimefurikaWanafunzi dayView attachment 2084534
Eeh humu uwa kuna vocha ni ya aina gani ili niwe nachungulia mida yote na saa ngapi huwa inatupiwa watu tupate bando hapaHakuna hujuma mama mchungaji
Ulaumu usingizi wako tuu🤣
Mkuu update simu naona imekuletea na taarifaNakuona kama kitabu kizuri
Kilichoshaheni,hadithi nzuri za mapenzi
Ukanifanya mimi siwezi,kula kulala mpaka nikuone
Nikufunue nikusome ndo nipate usingiziView attachment 2084753