Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,970
- 177,190
Kula kwanza huo msosi ndio uje kula tena na Tena!Nilee kwanza ndo nile au nile ndo nije nile tena?
Kula kwanza huo msosi ndio uje kula tena na Tena!Nilee kwanza ndo nile au nile ndo nije nile tena?
Kula kwanza huo msosi ndio uje kula tena na Tena!
Dada mkubwa shemeji umeupiga mwingi kuliko yule Chief wa wasukuma.
Pep hawezi kukabidhiwa pisi 'blaka beauty' kabisa halafu aizingue
Nakubali show

Ushaanza risalaDah
You are very good person ,,ila pombe tu![]()
Umeona sasa mambo yako..ulitakiwa uyaseme mapema haya maneno ujueDah nimesurrender🙌😂
Ngoja niende tu na beat lenu🤣🤣🤣🤣
🙏🙏🙏Hallelujah
😜😜😜😜🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🙃🙃🙃!Hapoo sasa
Najaribu kuongezea uzitoUsije ukakosea uniite shem
Ntaku report kwa Melo ulambe life ban
Nimecheka sana😂🤣🤣🤣Najaribu kuongezea uzito
Husemi uongo mtumishi mwenzangu shemeji.Hiyo pisi iliumbwa siku ya mapumziko; kila kitu kilipangwa kikapangika mahali pake. Ushindwe wewe
Miguu yake ni kama nguzo za alabasta zilizosimikwa katika misingi ya dhahabu.
Halafu umbo lake sasa... ni kama Lebanoni, ni bora kama miti ya mierezi.
Umewahi kuona kichwa chake? ni kizuri kama dhahabu safi, nywele zake ni za ukoka, nyeusi ti kama kunguru.
Babe umeupiga mwingi hapa🤣🤣Husemi uongo mtumishi mwenzangu shemeji.
Nilibahatisha picha yake moja hapa jamvini...
Kwa ile picha, itoshe tu kusema kwamba:-
👀👀👂👂👂Nikuite nani?😉
Kwa macho ya rohoni anaonekana ni mwema kabisa na anahofu ya MunguKhaaaa😂😂😂😂😂😂🙌
Hadi wewe????
Btw,unamuonaje shemeji yako??
Ariririririririririiiiiiiiiiiiiiiiii.....aiaiaiaiaiaiaiaia🥰🥰🥰🥰🙏🙏🙏🙏Shemeji yangu anaweza akawa mumeo
Hivi mpka sasa utosi hauumi?kwa vitu vizitoNilijua tu utasema hivi![]()
Kelele moja kwa shem ake wewe. Daah shem ni msweeeeeeetHusemi uongo mtumishi mwenzangu shemeji.
Nilibahatisha picha yake moja hapa jamvini...
Kwa ile picha, itoshe tu kusema kwamba:-
Hellooooooooo.............Yupo vizuri sana. Ni kumkabidhi tu mke
Hivi mpka sasa utosi hauumi?kwa vitu vizito