Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Dada mkubwa shemeji umeupiga mwingi kuliko yule Chief wa wasukuma.

Pep hawezi kukabidhiwa pisi 'blaka beauty' kabisa halafu aizingue
Kama tulivyoonyesha umoja leo kupanbana na chamdeko..basi naomba nikuhakikishie mheshimiwa shemeji ndivyo vivyo hivyo tutaonyesha umoja wetu kukushushia nyundo za utosi siku ukizingua.Hallelujah...
 
Back
Top Bottom