Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Yaani Karma kwa kweli hadi nimem-quote na picha dah
Shimba Ya Buyenze kwa sababu amelala; itabidi nimtumie tu PM
Yaani Karma kwa kweli hadi nimem-quote na picha dah
Mdogo wangu nasubiri uage tu hapa maana hamna namna
Timiza ahadi yako





Kwahiyo HS ukaona masimango ya jana hayatoshi,umeamua unipitishe tena nikose picha.
Mjep ukaona kuninyima vocha haitoshi,ukaamua leo uniongezee hujuma
Sasa nasema hivi!msinitanie
Hs nipe picha...mjep nipe vocha.
Nimekasirika sasa![]()
😏😏🤣🤣🤣Hatimaye mama sipitwi amepitwa![]()
Marahaba.Hujambo dogo mapicha
N alikua hapa hapa sijui kakimbilia wapi?Yaani Karma kwa kweli hadi nimem-quote na picha dah
Shimba Ya Buyenze kwa sababu amelala; itabidi nimtumie tu PM
Aliahidi mwenyewe, hamna namna aage tuuu😂😂😂😂Katatia huruma leo hehehe
N alikua hapa hapa sijui kakimbilia wapi?
Imekula kwake asubiri kusimuliwa tuuuu
au akavizie pale nguzo camp huwenda akamuona mama mchungaji
Mjep sitaki maneno,,nataka vocha😬Mama mchungaji kweli huna bahati, hii Njanuary imekaa vibaya
poleee😂😂😂😂😂
DuhYaani Karma kwa kweli hadi nimem-quote na picha dah
Shimba Ya Buyenze kwa sababu amelala; itabidi nimtumie tu PM


afu umefuta picha mlongo, kwann sasa? Hebu tukutane kwa Mzee wa Ruangwa, ukasababishe jambo.
![]()



!!!imeisha hyooo!!!mtafute ANNAHappy new year to u as well... bado tu unapitwaga na pichaMarahaba.
Happy new year
Na wewe rudisha ile uliyotupia alfajiri best tumeikosa ujue
Last born wanatabu hawa😁
Wamenihujumu tu hao,hawana lolote😁Happy new year to u as well... bado tu unapitwaga na picha
Na wewe rudisha ile uliyotupia alfajiri best tumeikosa ujue





imeisha hyooooNimeshakasirika😬