Heee😊😊🙆Kila nikitaka kumuwekea Karma picha, wewe unatokea[emoji57][emoji57]
Anakupiga kamba tu huyo😂.Mmh lakini kwa waziri mkuu si kupo wazi dada [emoji3064][emoji3064]
The-last-born-effect [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi mwenyewe nakumbuka niliwahi kulia.
Tena form one.
Nimekuwa na bahatiTulianziaga hapaView attachment 2084638
Mama mchujgaji unaficha sanaaaaTulianziaga hapaView attachment 2084638
Mama mchujgaji unaficha sanaaaa
EwaaaaaaaTukipumzisha vitenge kidogoView attachment 2084643
Ewaaaaaaa
Maneno si hayaaa
Kuna watu leo wataliaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utajua hujui! Nimeona hiyo picha nimekumbuka Passing out flani hivi!Wa wapi hao [emoji16]
Huyo Saint Anne atawambia nini watu leo🤣🤣🤣🤣🤣Utawasimulia wadogo zangu, kuwa picha zote mbili, zimewapita hapahapa.
Kuna watu leo wataliaaaaaa
Nasubiri kuwasimulia tuu hapa[emoji28][emoji28]
Ahsante mama mchubgaji kwa kuibariki jumatatu yangu leo
Huyo Saint Anne atawambia nini watu leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na huyu Karma naye sijui kakimbilia wapiHaswa Saint Anne lazima alie
Mdogo wangu nasubiri uage tu hapa maana hamna namna🤣🤣🤣🤣🤣Aki ya nani😂😂😂😂
Mama mchungaji kweli huna bahati, hii Njanuary imekaa vibayaKwahiyo HS ukaona masimango ya jana hayatoshi,umeamua unipitishe tena nikose picha😂.
Mjep ukaona kuninyima vocha haitoshi,ukaamua leo uniongezee hujuma🤣🤣🤣
Sasa nasema hivi!msinitanie
Hs nipe picha...mjep nipe vocha.
Nimekasirika sasa😬
Hujambo dogo mapichaKwahiyo HS ukaona masimango ya jana hayatoshi,umeamua unipitishe tena nikose picha😂.
Mjep ukaona kuninyima vocha haitoshi,ukaamua leo uniongezee hujuma🤣🤣🤣
Sasa nasema hivi!msinitanie
Hs nipe picha...mjep nipe vocha.
Nimekasirika sasa😬