Pep
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,338
- 5,490
Unaupiga mwingi sana kunichinjia baharini.Huu mwaka unakimbia huu!
Kumbe una shemeji humu na huniambii![]()
Ni vile mimi sitokei pale Lumumba ee 🤔
Angekua Bia yetu ungeshasema....Yes I Do
Unaupiga mwingi sana kunichinjia baharini.Huu mwaka unakimbia huu!
Kumbe una shemeji humu na huniambii![]()
Very 😞Unaupiga mwingi sana kunichinjia baharini.
Ni vile mimi sitokei pale Lumumba ee 🤔
Angekua Bia yetu ungeshasema....Yes I Do
Lol itakua ulimvuruga wewe akili yako unaijua mwenyewe!kumbe tupo wengi eeeh, cm ndogo angu imepasuliwa j2 usiku. Hapa nawaza kununua mpya afu niifiche


Hivi hujui kuwa bia yetu ni mdada?😝Unaupiga mwingi sana kunichinjia baharini.
Ni vile mimi sitokei pale Lumumba ee 🤔
Angekua Bia yetu ungeshasema....Yes I Do
Nambie ni Shemeji yetu kwa nani ?Kelele wewe
Asinitanie huyueKwani huna helmet hapo.
Hebu pambana uliwakilishe vizuri taifa mkoani mbeya Kwa kina mwampandile mwakamti 😁😁
Kwanini mods hawakuweka hii reaction 😏 nikupe?Nambie ni Shemeji yetu kwa nani ?
Na unaipiga tarumbeta

😳😳😳Nambie ni Shemeji yetu kwa nani ?
Aisee unavaa kile kiatu mtumishi mwenzangu....potelea mbaliUtashangaa tunakuingiza chachi na hatukwambii
Aah wapiIpo tu siku kamanda ataanza kunywa fanta kama sisi![]()

Tunasonga mbele. kuishia njiani kwetu mwikoAsinitanie huyue
Keshon nabisha hodi ofisi za Mwakasege hapa Arusha nimalize mchezo pale 🤣🤣
Chaaa hiyo kwemaChaaa![]()