Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Naam

Hayo maneno humo nikiambiwa mimi na mrembo kama Anne....

Ntahisi hii dunia ni yangu.

Kwa kifupi nta retire kwenye kila kitu nafanya 'nifanye kumpenda yeye tu'

Sisemi uongo ndugu zangu 🤣🤣
 
🤣🤣
Tuendelee kulima mbogamboga.
Hivi baba umekumbuka kununua zile kamba??
Tushaambiwa tutakula kwa urefu wa kamba zetu😂
 
🤣🤣
Tuendelee kulima mbogamboga.
Hivi baba umekumbuka kununua zile kamba??
Tushaambiwa tutakula kwa urefu wa kambe zetu😂
Kuna possibility sisi 'wageni tuliokujaga na jasiri' tukafukuzwa mashambani.

Shamba zote zinarudi kwa wamiliki halisi wenye mashamba yao.

Hata zile alfu 7 za kila siku za palizi tuzisahau 🤣🤣
 
Sa itakuaje😂😂😂
Mimi sijui naenda wapi😂😂😂
Eti ntaenda wapi sasa?🤣
 
Back
Top Bottom