Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,198
Huu mwaka unakimbia huu![emoji134]Amen shemeji
Kumbe una shemeji humu na huniambii[emoji13][emoji2356]
Huu mwaka unakimbia huu![emoji134]Amen shemeji
Unaona mambo yako sasa...ionganishie Kwa mbele hiyo shemeji.we naeeee(in Joti’s voice)Ubarikiwe sana mtumishi mwenzetu...shemeji
Yaani 😪 thank you lkn tumeondoka sahivi ipogoloAaaagh nimekosa Mimi, nimetoka Mby jana. Safari njema kama vipi shuka Iringa ulale utaenda Mby kesho and I will host you freely
Utashangaa tunakuingiza chachi na hatukwambiiHuu mwaka unakimbia huu![emoji134]
Kumbe una shemeji humu na huniambii[emoji13][emoji2356]
Aisee....basi sawaHakuna cha over the moon shem wa kitumishi.alishasema Ila indirectly unajichelewesha mwenyewe
Brother hiyo kwio
Hili limeshaisha[emoji16]Hii kapo ya kitumishi inarushiana ball
Kimbia kabisa muda unaendaAisee....basi sawa
Kamah hili lina approval yako wacha nitinge ofsini kwa mzee Kasim mapema usiku huu huu
Ayaa...umenipiga na kitu kizito.
Ewaaaaa🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️Hili limeshaisha[emoji16]
Kwani huna helmet hapo.Ayaa...umenipiga na kitu kizito.
Nilikua nakaribia kwa Kasim.
Chakorii ameniingiza chaka...
Wacha bhana🤣🤣🤣hahahaha.kwa ww ni sawa tu
Huu mwaka unakimbia huu![emoji134]
Kumbe una shemeji humu na huniambii[emoji13][emoji2356]
Utashangaa tunakuingiza chachi na hatukwambii
Hii kelele wewe imenifanya nimkumbuke babu yangu.🤣🤣alikuwa akiipwnda sanaKelele wewe
Hii kelele wewe imenifanya nimkumbuke babu yangu.[emoji1787][emoji1787]alikuwa akiipwnda sana
Kwako mama mchungaji🎤Ndiyo ndiyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Yani mtu anaufyata fyaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unatulia tuli