Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Unajifanya baba mwenye nyumba
Baba siku ile alitaka anichape😂
Waloniboa,,nikaandika barua nikawawekea chumbani🤣🤣🤣,oh mimi ntakufa au nitapotea
Akiyanani ,mzee alivyoanza kusoma...
Eti wewe ndo wa kututishia sisi??ondoka tuone😂😂😂😂,,kufa hapa tuone🤣🤣🤣🙌🙌🙌
Ule mchezo sijarudia tena maishani😁
 
Back
Top Bottom