Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,198
Hadi ana kwa ana huwa nachoka kuongea yaani.Hamna matatizo
Maisha ni kuchagua vile wewe unavyotaka .
Kuna muda natamani tu nikae kimya pekeyangu.
Hadi ana kwa ana huwa nachoka kuongea yaani.Hamna matatizo
Maisha ni kuchagua vile wewe unavyotaka .
Sipati pichaDada ako wa tumbo moja atakuwa anaumwa muda huu[emoji2][emoji2][emoji23][emoji23]
Kipara anatoa ubatizo aisee wale sugu sugu wa stand wote wamempokea kristu
Jamaa noma sana.Kipara anatoa ubatizo aisee wale sugu sugu wa stand wote wamempokea kristu
Wachaa[emoji1787]AMEN. Mungu ameshakupa mnyaki mwingine [emoji23][emoji23][emoji23]
Teh teh tehSipati picha
Ngoja nicheke kicheko chako kile[emoji1787][emoji1787]
Teh teh..
Wacha😍Usiku mwema wapendwa! [emoji124][emoji42][emoji42][emoji42]View attachment 2082848
Aisee🤣🤣🤣🤣AMEN. Mungu ameshakupa mnyaki mwingine [emoji23][emoji23][emoji23]
Hadi ana kwa ana huwa nachoka kuongea yaani.
Kuna muda natamani tu nikae kimya pekeyangu.
Usiku mwema wapendwa! [emoji124][emoji42][emoji42][emoji42]View attachment 2082848
Aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Likewise ..Usiku mwema wapendwa! [emoji124][emoji42][emoji42][emoji42]View attachment 2082848
Chaaaah!🤣😂😂😂😂😂😂Eeeh asije akahamishia sifa kabila lingine, so ampokee tu kwa imani[emoji23][emoji23]
Chaaaah![emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hufai wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kipara anatisha dah anapiga za kutosha utadhani anaua nyokaJamaa noma sana.
Halafu sasa utamsikia mwenyewe kwenye maoni yake akisema vijana wake wamecheza hovyo chini ya kiwango[emoji23][emoji119]jamaa ana kufuru yule[emoji1787][emoji1787]
Akiwakamata nyie mwanitesa mtaimba Halleluya na Bwana..kama sisi tuliwachakaza kama mbwa koko,sasa akiwashika jamaa atajipigia anavyotaka.
Hata sijijui😂Itakuwa wewe ni introvert kabisa ndo maana upo hivyo .
Aisee huyu fundi [emoji91] na body linachangia # elegantUsiku mwema wapendwa! [emoji124][emoji42][emoji42][emoji42]View attachment 2082848
Waifu matirio😍.Wee sio kwa sifa hizi za wanyaki leo. Wanavyojua kutuchamba, leo kimyaaa
EehKipara anatisha dah anapiga za kutosha utadhani anaua nyoka
Yule mama wa kule bukoba vijijini200,000 X 12 = 2,400,000/-
Ngoja nimuulize swahiba angu 9.8ms squared aseme kama Kuna nafuu au laa kwenye kulipa 2.4M[emoji23]