Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sijui aibu zinatokeaga wapi, mara unakuwa bubu ghafla
Si ndiyo kama mdogo wako Saint Anne. Ukikutana naye kalivyo kakimya utasema huku JF huwa anampa mtu simu yake amuandikie zile comments.

Yaani hakaendani kabisa na haya maneno kanayoandika huku. Yaani kanapooza ukipiga naye story unaweza jikuta unaongea peke yako ila huku sasa mwee.

Though hata mimi kuna watu wananisemaga kuwa sifananii na huu uchiriku nilionao huku jf. Kwa maana nikikutanaga na watu nakuwaga mkimyaaa labda nikuzoee.
 
🤣🤣🤣🤣
Halafu ile siku nilijitahidi sana kuongea
 
Kumbe ule utata wa Anne ni wa kwenye maandishi tu?

Back
Top Bottom