Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mwili unazingua sana, unawasha washa ... alikuwa mshauri wangu, muombaji wangu, muonaji wangu, msemaji wangu.. nilikuwa na raha.. unakuwa na mtu ambae kesho anakuambia kuna moja mbili tatu inatokea na inakuwa hivyo hivyo, akiniambia usitoke ujue kuna kitu kibaya, mtu ambae anajua mahala nilipo na maendeleo yangu na kama kuna shida mda huo hup napigiwa simu.. asee nimepoteza jembee sana. sema nakaza tu.. Tinsley Asante kwa moyo na faraja

Pamoja sana rafiki ...
Huyo mdada alikuwa a rare gem , dah maisha haya .
 
Nimtoe wapi aseee.. hakuna wa kuvaa viatu vyake.. alijenga misingi kwenye maisha yangu, hakuwa tayari nishindwe popote.. alikuwa akifunga akikesha akiomba kwa ajiri yangu.. Oooh.. God. I rembember siku anakufa walienda wana maombi kumuombea apone akagoma akasema anataka kuondoka na ameisha muomba Mungu na amekubaliwa.. within 5 min akaondokaaa.. Ooops.. till leo nilipoteza Queen.. sio hao wa sasa unaishi kwa mashaka mashaka
Dah pole sana🥲
 
IMG-20220115-WA0324.jpg
 
Back
Top Bottom