Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Happy Birthday PEL [emoji4][emoji4]15|01|1990-15|01|2022=?
GOD has given me another year to live, laugh, and love and that is the best thing I could receive
HAPPY BIRTHDAY TO ME
Happy Birthday PEL [emoji4][emoji4]15|01|1990-15|01|2022=?
GOD has given me another year to live, laugh, and love and that is the best thing I could receive
HAPPY BIRTHDAY TO ME
Tena unapigiwa muda ambao upo ovyoMimi huwa sipokei tu kabisa. Sura zetu wengine zinajaa kwenye screen akhaa
Akhsante sana mkuu KarmaHappy Birthday PEL [emoji4][emoji4]
Mtu upo na kikhanga chako, unashangaa kruuu kruuuuTena unapigiwa muda ambao upo ovyo
[emoji23][emoji23] kweli kabisaMtu upo na kikhanga chako, unashangaa kruuu kruuuu
Naomba utakuwa unanichangia nikiwa Mzee, manake akiba yangu ya Uzeeni nakupa wewe saivi 😂[emoji23][emoji23][emoji23] Endelea kuzitafuta nyingi nyingi bana, hata ukitoa usishtuke kabisa
Vidole hivyo dah
[emoji23][emoji23] kweli kabisa
Hapo ni kukata simu moja kwa moja.
Mimi siku moja nimefanya interview ya zoom aisee ilikuwa vituko uzuri ni kwamba yule baba aliniambia nizime camera ndo nikawa comfortable
Mara ya mwisho ulihonga 100,000 na ulisema ilikuuma Mwaka Mzima ila Mimi unashauri nihonge 3M?Swahiba tuwapende na kuwajali.. fanya 3 M itapendeza zaidi
Naomba utakuwa unanichangia nikiwa Mzee, manake akiba yangu ya Uzeeni nakupa wewe saivi [emoji23]
Mara ya mwisho ulihonga 100,000 na ulisema ilikuuma Mwaka Mzima ila Mimi unashauri nihonge 3M?
hapana Kwa kweli, nitaishia 150,000 tu [emoji23]
Video call sio poa aisee .Kuna siku nipo nimelala mama wa watu sina habari; kuna mtu amenipigia na tunaheshimiana vibaya sana. Nataka kupokea, mweeeh kumbe video call; sijui ningeweka sura langu wapi jamani
Hahaaa daah umenikumbusha 'range'. Tulikuwa tunaambiwa kuruta mnalenga mijusi tu.Hapo nlikuwa najiona kama vle rambo,,[emoji41] mwendo wa kuua mijusi tu[emoji23]
I love this field
View attachment 2082349
Marangu?Bado tupo kilimanjaro tumafurahia oxygen yakutosha...haya embe safarani hizo karibuniiiView attachment 2082414
Mwamba wa kusini [emoji4][emoji4]
Kumbe tuko wengi [emoji1787][emoji1787]Tunatest mitamboView attachment 2082685
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nime-imagine home umedanganya upo Dar, mara paap gari lako linaonekana selfika Dodoma
Kamanda wetu wa kinyaki[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]Hahaaa daah umenikumbusha 'range'. Tulikuwa tunaambiwa kuruta mnalenga mijusi tu.
Nimemiss life la 'jakata'. Napenda sana kwata/gwaride na kwenye gradu ya jakata nilichagua hicho kitengo.View attachment 2082724View attachment 2082726