Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Sasa ni sawa na ada jamani? Hapo bado mama na mtoto hawajalipa kodi ya pango, hawajaumwa, kula, kuvaa, bata n.k?200,000 X 12 = 2,400,000/-
Ngoja nimuulize swahiba angu 9.8ms squared aseme kama Kuna nafuu au laa kwenye kulipa 2.4M[emoji23]