Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
Nimtoe wapi aseee.. hakuna wa kuvaa viatu vyake.. alijenga misingi kwenye maisha yangu, hakuwa tayari nishindwe popote.. alikuwa akifunga akikesha akiomba kwa ajiri yangu.. Oooh.. God. I rembember siku anakufa walienda wana maombi kumuombea apone akagoma akasema anataka kuondoka na ameisha muomba Mungu na amekubaliwa.. within 5 min akaondokaaa.. Ooops.. till leo nilipoteza Queen.. sio hao wa sasa unaishi kwa mashaka mashaka 😀😀AMEN. Mungu ameshakupa mnyaki mwingine![]()




