Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 31,980
- 95,495
Nyie; shikamoo zake mama Chacha khaaaKale kadada ni ka Chacha sasa
Nyie; shikamoo zake mama Chacha khaaaKale kadada ni ka Chacha sasa
Ni noma sanaNyie; shikamoo zake mama Chacha khaaa
Happy new year to you too .Wakulungwa wote wa kiume na kike Heri ya mwaka mpya!
Sijaja huku toka mwaka jana
Huyo kuzaba makofi wanafunzi ni dakika sifuri 🤣🤣🤣🤣! Mungu amuepushie hizo hasira asee!Kakali hako Alooo
Halafu kamesomea ualimu
Sipati picha huko darasani hali za wanafunzi wake
Sema tulishakajuaga kapo hivi,basi tukawa tunakachukulia tu hivyohivyo...
Sasa ole wenu imbeni mkosee
Huku kenyewe kakikosea utakosa "Oh sorry nimekosea,kanastopisha mziki kwa ishara na kuamuru waanze upya..sasa nyie wengine koseeni muone cha moto"
Utasikia stooop ,,wote kimbia round kumi..hapo kamenuna hako
....
Kuna siku kalinipa za uso...kalinipa wimbo nikamwambia siwezi asee
sasa nimekubali kuna Dada nae alinambiaga pia hvyoo!ila mi sijui kwa kua siko nao sana kivile ndo maana!Binamu bora wakaka aisee; mwanamke wa kikurya akiwa mtata ni balaa. Tuliwahu kuwa na jirani aitwaye mama Chacha huyo mmmmh
Mimi kuna dada tunafanya nae kazi hapa! Ni moto wa kuotea mbali aseee mtata mnoooo! Afu ni mbabe balaa lake tunalikoma mbona!sasa nimekubali kuna Dada nae alinambiaga pia hvyoo!ila mi sijui kwa kua siko nao sana kivile ndo maana!
Mimi kuna dada tunafanya nae kazi hapa! Ni moto wa kuotea mbali aseee mtata mnoooo! Afu ni mbabe balaa lake tunalikoma mbona!
Muite Heaven Sent aje amuone huyo mdada maana anajuaga Mimi ndio mtata dunia mzimaMimi kuna dada tunafanya nae kazi hapa! Ni moto wa kuotea mbali aseee mtata mnoooo! Afu ni mbabe balaa lake tunalikoma mbona!
Nigawie moja basi.
Mwaka huu sijashika hata moja
Nimepamiss Dodoma jamani.
Karibu tena mtt mzuri! Njoo ujiandikishe mastaz😅Nimepamiss Dodoma jamani.
Hiyo mitaa nilikuwa naipensmda mno.
Memory..hii last yr.Karibu tena mtt mzuri! Njoo ujiandikishe mastaz
Sema pana joto flani nowMemory..hii last yr.
Nilikuwa siku naenda tu kuzunguka hizo round aboutView attachment 2082094View attachment 2082096View attachment 2082098
View attachment 2082102
Jua tu jua🙌Sema pana joto flani now
Sema no sweating ila jua linagongaJua tu jua🙌
Linapiga hadi utosi