Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Anasema yaani Huyu dogo sijui mnamuona nani🤣Huyu kuku ht mi nisingekubali ule peke yako looh!
Mmeongea vyote sina pa kuongeza ntaharibu!The same to my late father...despite all his weaknesses but he was the best dad to me.
Kuna muda tulikwaruzana,,,
Mimi pia ni mpenda attention,,,sasa kwa baba yangu ni kama nilifika penyewe
Nikikaa nikikumbuka matukio mazuri(mf mzuri graduation yangu ya form four mzee alivyoinuka na kunipigia makofi nikiwa napewa zawadi zangu..ukumbi mzima walijua yule ni baba yangu)
Amenifunza appreciation..
Alikuwa akianza kukusifia na kukuelezea mzee wangu ahhh
Unaweza kulia kwa furaha.
Katika malezi yangu sikuwahi kupigwa na baba yangu hata siku moja.
Basi huku kwenye mahusiano mambo yatakuwa magumu,,,napenda care mno aisee...jinsi nilivyokuwa napiga stori na mzee...sijui km nitapata tena mtu wa aina ile maishani.
Nimegundua upendo wa binti kwa baba ni wa ajabu mnoMmeongea vyote sina pa kuongeza ntaharibu!
Mi ni first born but my dad Ananipenda sana!nimeinjoy kwa nafasi yangu
Hapana wanaume wana thamani kubwa sana,Mimi nawaheshimu mnoo!!hakuna MTU aso na umuhimu,baba ana nafasi kuubwa sana ktk malezi na kumjenga mtoto.Asante kwa hili, kumbe wanaume bado wanathaminika, kuna wakati thamani yetu ilikua haipo kila kitu ni mama tu.
Hao wajinga wa merseyside na rafudhi yao ya kiporipori wameshindwa kuifunga Gunners ya 10men.Sasa Aseno kwa akili zenu kabisa mlijua mtatufunga??😂
Hakuna wote wana umuhimu!my mom has gone kitambo yule mzee alivyonipigania sijaona Mimi ktk ardhi na hayupoo!!Kweli lakini kujitoa kote huko mwishowe unasikia hakuna kama mama.
Mbona hata nyie mlitamba aseno na hamjatufunga😀Hao wajinga wa merseyside na rafudhi yao ya kiporipori wameshindwa kuifunga Gunners ya 10men.
Acha tu yaani baba ana nafasi kuubwa Mimi siwezi sema ubaya wao maana sijauona so kwangu wanaume they are good!Nimegundua upendo wa binti kwa baba ni wa ajabu mno
Tunawakaribisha Emirates tuwafundishe adabu ntakutafuta.Mbona hata nyie mlitamba aseno na hamjatufunga😀
Anasema yaani Huyu dogo sijui mnamuona nani
Yaani ale nyama pekeyake,,kwamba ni mgeni hapa nyumbani ni mara ya kwanza yeye kuja?
Mama anasema akijisikia atawagawiabasi nilikuwa najaa bichwa langu hili.
Kipande vya mzee nilikuwa nimeshamtengea,,,hakuna kitu nilikuwa napenda kama kumfurahisha mzee wangu hasa upande wa chakula.
mrejesho 👉kampeni yako imefanikiwa kwa 100% nashukuru sana..Mrejesho
Babu cha madeko
Sasa hapa umenikosha sana😍
Duh!Sasa Aseno kwa akili zenu kabisa mlijua mtatufunga??
Sasa nifanyeje kama nadekezwa🤣🤣🤣.muone vile loohh!unaona rahaa!kudeka tu
Eti Asenali watufunge baba lao Liver..wanaota hawa🤣🤣Duh!
Asanteni kwa testimony zenu kuhusu nafasi ya baba kwa binti yake. Nitajitahidi kumpa muda mwanangu,hizi changamoto za maisha zinatuweka mbali nao sanaa. Hopefully sijachelewa, MUNGU atusaidie wanaume tuweze kupata muda na watoto na wake zetu na awasaidie wake zetu mtupunguzie maudhi mpaka tunazichukia nyumba zetu wenyewe.
Nilishayapitia
Fathers, be your daughter’s first love and she’ll never settle for anything less."