Mimi nyumbani kwetu ndiyo kama last born, at the same time ndiyo kama first born. Kwa hiyo pa kudeka ninadeka, pa kugangamala ninagangamala kweli kweli.
Yaani ukae na baba HS na asikusimulie matendo makuu ya "kijana" wake HS aah wapi (alizoea kuniita kijana wake huko kwa wenzie; so nina udume na ujike pia). He loved me so so much, i was and still his pride.....