Aisee nimekuwa last born for twenty years + hasa hivi nimewatoroka ila it feels goods Mzee huwa ananitambulisha kama last born hadi sasa nina wadogo wawili kwa baba ..
Utulivu wapi , mie muongeaji noma hapa nyumbani mie ndo kama mkubwa wakati mimi ndo mdogo hapa nyumbani .
Ewaaa hapo hata kumuhubiria mtu injili anakuelewa mapema. Sio mlokole hataki hata kuoga kisa yuko busy na injili; imagine unampiga mtu kizinga afu uje umwambie "Yesu ni mzuri, okoka au receiveeeee"; ni ngumu wapendwa. Poverty shall never be our portion IJN
Marko 10:29-30.
29. Yesu akasema, Amin, nawaambieni, Hakuna mtu aliyeacha nyumba, au ndugu waume, au ndugu wake, au mama, au baba, au watoto, au mashamba, kwa ajili yangu, na kwa ajili ya Injili,
30. Ila atapewa mara mia sasa wakati huu, nyumba, na ndugu waume, na ndugu wake, na mama, na watoto, na mashamba, pamoja na udhia; na katika ulimwengu ujao uzima wa milele.
Saint Anne
Baada ya hapo Next week.. nakula nondo za pesa pesaa.. nitarudi baada ya kumaliza robo tatu ya hivi vitabu mlokole ninaependa pesaaa na rahaaaa
Hujachelewa na uzuri elimu haina mwisho. Afu wewe ulitaka uanze kusoma hivyo vitabu ukiwa bado unabeba kidumu na ufagio? Imagine mtu yupo 60s afu ndiyo anajifunza kuomba na kufunga; mweeeh atachoka sana.
Hujachelewa na uzuri elimu haina mwisho. Afu wewe ulitaka uanze kusoma hivyo vitabu ukiwa bado unabeba kidumu na ufagio? Imagine mtu yupo 60s afu ndiyo anajifunza kuomba na kufunga; mweeeh atachoka sana.