Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mmmh bado una moyo mzuri aisee. Wenzako mwanamke ukiitwa tu ka dinner, wakati anakunywa soda, anasikia kidume anauliza "vyumba vipo muhudumu? (Natania mweeh)
Niombee hii roho initoke, nisije kupanga foleni kuomba omba barabarani nikiwa Mzee ๐Ÿ™Š๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
 
na aliekwambia nataka wadogo nani?! ujue nimefanya vetting ya kiwango cha special forces wa urusi af mambo ya umri hayakuhusu kwani we unajua umri wangu!? acha kujifanya mfanyakazi wa RITA basi nifungulie tusalimiane yaishe hujui hamu yangu ikiisha utakuwa umenisaidia..
๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™ƒ๐Ÿ™ƒ๐Ÿ™ƒ๐Ÿ™ƒ๐Ÿ™„!
 
Back
Top Bottom