Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,967
- 8,099
we salimia tu kwanza huhusiki hapa nenda kaangalie order zako huko..Shikamoo madam mahondaw 🙆♂️🙆♂️
we salimia tu kwanza huhusiki hapa nenda kaangalie order zako huko..Shikamoo madam mahondaw 🙆♂️🙆♂️
Ardhi inatuzalia miiba eeeh![]()
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! Siaminiii!!Mahondaw em mfanyie wepesi mtoto wa mwanamke wa mwenzio, angalau tu akupe hi. Msije mkasikia kajinyonga
umesema kweli walai! hivi salamu tu kwani ntamuibia hivyo vitenge vyake!?..Mahondaw em mfanyie wepesi mtoto wa mwanamke mwenzio, angalau tu akupe hi. Msije mkasikia kajinyonga
Cappuccino 💥💥💥Karibuni jamana kahawa ya usiku 😊😊😊😊View attachment 2079702
😪😪😪🤧😭😭😓😥😢🥺🤧🤧🤧
Ndio ndio mkuu 😊😊😊😊Cappuccino 💥💥💥
tutatuliaje wakati tumerogwa mirogo kumi na zaidi 🙄🙄🙄Mtulie tu
!! Siaminiii!!
Una Bei gani nikuuzie ramanimkuu niache tu hata nionekane punje, fine tu....hapa ametoka online naskia kuomboleza dah..
Hapana, humpunguzii chochoteumesema kweli walai! hivi salamu tu kwani ntamuibia hivyo vitenge vyake!?..
dah..
mkuu niache kwanza hata kuhesabu hela siwezi sahii..Una Bei gani nikuuzie ramani
Mama Mchungaji nionee huruma mtoto wa Mwanamke mwenzio 😢🙆Watu wametumwa kuja mjini kutafuta maisha, afu wewe unajipendekeza![]()








tutatuliaje wakati tumerogwa mirogo kumi na zaidi![]()
asante dada..Mimi ni mama Mchungaji. Siwezi nikaruhusu nafsi ya mtu iangamie kisa tu kukosa kusema hi
Naomba nilijue kanisa lako. Huu ni upendo wa bwana kabisaMimi ni mama Mchungaji. Siwezi nikaruhusu nafsi ya mtu iangamie kisa tu kukosa kusema hi
Hiyo mirogo mingine imetokaje, na huyo mpya nae akiweka wake unakuwa kama chizi.. mtuelewee tu asee 😊😊😊Muanze upya. Mtafute mmoja wa kutulia naye; akikuroga mmoja sio shida sana![]()
Mama Mchungaji nionee huruma mtoto wa Mwanamke mwenzio
Saivi nataka nitafute asiye na vizinga nimfanye wa kudumu tu![]()
Hahaaaamkuu niache kwanza hata kuhesabu hela siwezi sahii..
!! Siaminiii!!