Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,968
- 8,108
ile siku ya brexit ulikuwa umefungua trade zenye EUR!?..Nimeanza 2016
ile siku ya brexit ulikuwa umefungua trade zenye EUR!?..Nimeanza 2016
Kama mtaji mdogo bora usi trade 😀😀Tamaa mbaya, nadhani ni kwa sababu ya mitaji mbuzi mategemeo tembo. Tunataka $20 ilipe Kodi, inilishe hotel, inunue tv, ijenge nyumbani, inunue premio nk
mimi nilipoteza $5000 nikiona chart yeyote hata ya matokeo ya kura za maoni kwenye uchaguzi wa serikali ya kitongoji naskia moyo unafanya pah!..Tamaa mbaya, nadhani ni kwa sababu ya mitaji mbuzi mategemeo tembo. Tunataka $20 ilipe Kodi, inilishe hotel, inunue tv, ijenge nyumbani, inunue premio nk
Nime trade sana tu kwnye brexit mkuu..ile siku ya brexit ulikuwa umefungua trade zenye EUR!?..
Hata mimi nawashangaa raia kwenye hii ishu ya kina Kingai na wale makomandoo eti wanawakejeli wanajeshi na kuwasifu hao mapolisi wahuni kisa waliwapiga wale makomandoo hadi wakaanza kulia kama watoto. Huwa nasoma nasema tu hiiiii yaani polisi ni wa kujisifia kuwa wao wako juu kimafunzo kuliko makomandoo wa jwtz?.. Dawa naona iliwaaingia vizuri sanaaaa.. ndio maana humu kuna ile issue ya kina Kingai najisemea kimoyo moyo tu, jamaa waliamua kuwa watii maana hawakujua lengo la jamaa kuwafataa.. ila ulichowapatia ndio wangepewa tena maradufu
hii tunaomba ugeuke kwa heshima na taadhima..


mkuu hio tusameheanee kwa nyuma sijapiga .Nahisi wale makomdanoo moja walihisi pia kama test ya nidhamu kwao pia walikuwa na matarajio flani ila pia nidhamu bado ipo kwao.. sio kwamba walikuwa wanyongeHata mimi nawashangaa raia kwenye hii ishu ya kina Kingai na wale makomandoo eti wanawakejeli wanajeshi na kuwasifu hao mapolisi wahuni kisa waliwapiga wale makomandoo hadi wakaanza kulia kama watoto. Huwa nasoma nasema tu hiiiii yaani polisi ni wa kujisifia kuwa wao wako juu kimafunzo kuliko makomandoo wa jwtz?
sawa mkuu ni vizuri kujiongeza mwenyewe..Above all, mwana katuongezea knowledge watz. Mimi nilimsoma na mpaka Sasa namsoma Kisha naingia chimbo Kupiga mziki mwenyewe. Uzuri najua kuitumia google vizuuri mno.
Hata mimi huwa nafurahi nikisikia story za hivyo maana hao jamaa wana viranga sana. Kuna watu wanaletaga uonevu wa kipumbavu sana wakidhani kila mtu ni mnyonge mnyonge tu.Shusha nawe asee.. mkuu Saguda47 kanifurahisha sana.. nahisi walibaki kituoni wanajilaumu walichofanya
kuna kitu kingine nimeona mmhh aisee sema tunayoyatamani mara nyingi hayawezi kuwa kamwe..mkuu hio tusameheanee kwa nyuma sijapiga .
Kaushaaaa!!!😜😜😜😜kuna kitu kingine nimeona mmhh aisee sema tunayoyatamani mara nyingi hayawezi kuwa kamwe..
nimeshaharibu siku sijui nimekuja kufanyaje huku hapa moyo unanikimbia halafu mimi nimezubaa tu dah..Kaushaaaa!!!😜😜😜😜
Mpasuo umekaa penyewe.Kitambi kisikuharibie pozi; hakiwashi wala hakiumi. Yeah mpasuo umekaa penyewe. Mpo vizuri na fundi wako mama. Kongole sana
Mpasuo umekaa penyewe.
Huyu ni Mama mchungaji huyu??
Hahaaaaaa kwa hiyo niwe mwangaliaji tu nyie muendelee kushusha $€£Kama mtaji mdogo bora usi trade![]()
Is it practical Sir?Ulikuwa na haraka sanaaaa mkuu.. mie ku withdraw hela ni hadi mwezi wa 12.. kwa mwaka natoa hela mala moja mzeee..
Hahaa usijali dear


Duuuh, ulijiachia mno. Ulitaka ku double ndani ya siku 1?mimi nilipoteza $5000 nikiona chart yeyote hata ya matokeo ya kura za maoni kwenye uchaguzi wa serikali ya kitongoji naskia moyo unafanya pah!..