Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😊😊😊😊 sasa mie nifanye kitu fake ili iweje mkuu.. kama huamini baki na kutokuamini.. mie uzuri sifundishi FX na leo imekuwa mala yangu ya kwanza na mwisho ku post.. na nimefanya hivyo kwa ajiri ya mwana donlucchese kama kumpa salama soko linaendaje kwake
haahah mkuu kuna ubaya gani kuinspayiana aisee..
 
sahii nafanya tangible things bhana FX imenipandisha ndege na nashukuru sana ila for now sitaki kupata pressure ya kuvumilia number nyekundu trade ikienda against ni msala..
😊😊😊 hii simpe sana ku manage, tumia lot size. ambayo ni resonable.. zingatia RM unaweza fungua zako position ukaja angalia kesho
 
Back
Top Bottom