Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,280
Hapana mtumishi nilisubiria response yenu ila kwakua umekuja usitoke natuma utathmini kama ameshona vizuri au ingekuaje make hii nilishona mishono ya kawaida tu..Kwamba nimepitwa ama?
Hapana mtumishi nilisubiria response yenu ila kwakua umekuja usitoke natuma utathmini kama ameshona vizuri au ingekuaje make hii nilishona mishono ya kawaida tu..Kwamba nimepitwa ama?
lets say nina $2000 napaswa kufungua lot size gani ambayo itakuwa less risky..😊😊😊 hii simpe sana ku manage, tumia lot size. ambayo ni resonable.. zingatia RM unaweza fungua zako position ukaja angalia kesho
kama hiyo 5% ambayo ni $100.. au less than 5%.. hauta trade kwa stress kabisaa.. fanya setup yako jirizishe vyema tia TP yako nw SL yako kaa pembeni.. hapo kwa hiyo ration una trade mala 20 au zaidi.. kama utaweka win:lose ratio nzuri utakaa sana sokoni.. mchawi huwa ni RM tu wala sio utaalamu..lets say nina $2000 napaswa kufungua lot size gani ambayo itakuwa less risky..
Namba ya house girl yenyewe wangeweka ingekuwa safi zaidi.. tungekuwa tunajaribu jaribu kumpigia
so trade ikienda pips 150 napata nini kwa harakaharaka!? tena pair isiyo na thamani kubwa kama EURUSD..kama hiyo 5% ambayo ni $100.. au less than 5%.. hauta trade kwa stress kabisaa.. fanya setup yako jirizishe vyema tia TP yako nw SL yako kaa pembeni.. hapo kwa hiyo ration una trade mala 20 au zaidi.. kama utaweka win:lose ratio nzuri utakaa sana sokoni.. mchawi huwa ni RM tu wala sio utaalamu..
Mcutee, asiwe amedhuriwa tu, Mungu amlinde...Ila Kwa Hilo hips ukute kuna Jamaa limemfungia ndani huko linapasha misuli tu.
Unapiga hesabu entry yako, pips ambazo upo tayari kupoteza it means kama unatakakunali poteza $ 50, =kwa 0.10 ni pips 50.. tazama entry yako plus mahala ambapo manipulation inatokea ina ruhusu wengi huweka 20 ndio maana zinapigwa.. kama una lose 50 pis na una win 150 good.. unapata $ 150so trade ikienda pips 150 napata nini kwa harakaharaka!? tena pair isiyo na thamani kubwa kama EURUSD..
weka tu, sie tutaendelea kupiga mkuu.. huenda ikapatikana badaeHaipatikani
Heaven Sent Hio sio ndefu sana sema nilipenda dizain ya mikono nahapo shingoni ila kuanzia kwenye belt kuelekea chini dizain panaelekeana nazileee. Hapo nyuma zipu sijafunga dizain inabana so fundi ataipanua kifuani..View attachment 2079634
Imekupendeza jamani.. ☺️☺️☺️Heaven Sent Hio sio ndefu sana sema nilipenda dizain ya mikono nahapo shingoni ila kuanzia kwenye belt kuelekea chini dizain panaelekeana nazileee. Hapo nyuma zipu sijafunga dizain inabana so fundi ataipanua kifuani..View attachment 2079634
aisee ngoja niendelee kulima mkuu huu mchezo umenishinda..Unapiga hesabu entry yako, pips ambazo upo tayari kupoteza it means kama unatakakunali poteza $ 50, =kwa 0.10 ni pips 50.. tazama entry yako plus mahala ambapo manipulation inatokea ina ruhusu wengi huweka 20 ndio maana zinapigwa.. kama una lose 50 pis na una win 150 good.. unapata $ 150
🤣🤣🤣🤣!Sitoki mama shughuli, niko hapa. Iko vediiiii
Awwee ume noga mweee ☺️☺️☺️
sio mchezo huo mkuu, ni biashara kama biashara zingine 😀😀😀aisee ngoja niendelee kulima mkuu huu mchezo umenishinda..
Heaven Sent Hio sio ndefu sana sema nilipenda dizain ya mikono nahapo shingoni ila kuanzia kwenye belt kuelekea chini dizain panaelekeana nazileee. Hapo nyuma zipu sijafunga dizain inabana so fundi ataipanua kifuani..View attachment 2079634
