Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mie pair zangu, XAUUSD, GBPJPY, EURJPY, USDJPY, GBPUSD, EURAUD, EURNZD, GBPUSD na GBPAUD pamoja na EURUSD.. ndio nashughulika nazo zimekaa kichwani.. japo kuna mda nachezea sanaaa.. RM key ya kudumu kwenye game
mimi nilikuwa mtaalamu wa pair za balaa tupu ila pair yangu bora ya muda wote ni GBPJPY na XAUUSD hiyo gold..
ilikuwa saa nne asubuhi nmeshaingiza 900$ london ikifunguliwa..
 
hata wewe ni suala la muda tu utatoka huko maana hufaidi hela ya FX kwa hizo 0.0 lot size iko siku marketing masters watakunyoosha utalaani wazungu wote..

by the way unatumia broker gani?!..
Nilishatoka kwenye 0.0x mda sanaaa... nikikuonesha order zangu zote ndio utajua nipo serious na broker 😂😂😂😂.. na pia naweka position kutokana na position zingine zinaensdaje kama nimefungua
 
0.85 nikipungua lakini 1.0 ndo mambo yangu yalikuwa hahaaha ..
Basi lazima mpambane na broker kuna mwana wangu mmoja ana zaidi ya $ 120,000 balance ana trade sometime hadi na 0.05.. ila pair ikiwa ipo sawa anaingia na hata na zaidi ya nne.. lazima ujue lot mahala pa kutumia aseee.. mie natumia hata 0.03 ila sio kwamba mtaji unanielekeza fanya hivyo.. ila kuna kitu nakuwa najilisha
 
mkuu kunitajia $120,000 january hii unanionea..
 
em leta screenshot ya MT4 hapa na ufunue kidogo kapazia tuone kama ni real account..
😊😊😊😊 sasa mie nifanye kitu fake ili iweje mkuu.. kama huamini baki na kutokuamini.. mie uzuri sifundishi FX na leo imekuwa mala yangu ya kwanza na mwisho ku post.. na nimefanya hivyo kwa ajiri ya mwana donlucchese kama kumpa salama soko linaendaje kwake
 
Back
Top Bottom