Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,179
- 11,256
Cheers [emoji1635]Anyway
Piga vyombo.
Cheers [emoji1635]Anyway
Piga vyombo.
Wanajiona ndio wako sahihi kuliko wengineo wote, lakini ukiwa sikiliza vizuri hawana hoja.Kuna mmoja aliniuliza nasali wapi nikamwambia Lutheran dah akaanza kusema kule sio na bla bla kibao anavutia nihamie kanisani kwao ni kama kunyanganyana wateja
Hoja yako hiyo umeitolea wapi??Hivi ni kweli kwamba anaetumia pombe ni mwenye dhambi kuliko wote, au kweli maovu yote chanzo chake ni pombe?
Pambania mahondaw kwanzaaa 😃😃Kwa wale wanaojilewa wako vizuri wengi wao.
Ila wake wanao jihesabia bora kuliko wengine wote ambao hawako kwenye makanisa yao hai ndio mtihani.
Kwa mfano mtu anasalia Siloam anamuona yoyote asiye kua Siloam ni mwenye kupotea, kadhalika na wanajiita walokole huwaona wote wasio fungamana nao wamepotea.
Hapo ndio kwenye shida na walokole na wenye kujiita wameokoka.
Mbona tupo walokole fresh sanaaa.. ebu tuwacheni aseee tutapaliwa. 😂😂😂😂Kuna mmoja aliniuliza nasali wapi nikamwambia Lutheran dah akaanza kusema kule sio na bla bla kibao anavutia nihamie kanisani kwao ni kama kunyanganyana wateja
Selfika kwanza fasta, hizi habari ni hadithi tu. Yani mtu mweupe aliamua kumdanganya mtu mweusi ili amtawale...Hoja yako hiyo umeitolea wapi??
Nani alikwambia hivyo?
Mimi sipo kuongelea ubora.
Ila ukitaka niongelee ubora nitakuambia hivi;
"Msifanye chochote kwa moyo wa fitina au kwa majivuno ya bure;Muwe na unyenyekevu nyinyi kwa nyinyi,na kila mmoja amwone mwenzake kuwa bora kuliko yeye mwenyewe"
Filip 2:3-7
Najua mpo mlio fresh Kuna wengine are too judgementalMbona tupo walokole fresh sanaaa.. ebu tuwacheni aseee tutapaliwa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Najiandaa kwenda MbinguniSelfika kwanza fasta, hizi habari ni hadithi tu. Yani mtu mweupe aliamua kumdanganya mtu mweusi ili amtawale...
...halafu ikaja dini kutuvuruga, yaani tumevurugwa sio poa! Kila mtu anajiona sahihi kuliko mwingine, dini yake ni ya kweli na ya haki kuliko ya mwenzake...
Anne unaamini ukifa unaenda wapi?
hilo ni kweli, wakati tunaambiwa tutembee na tuongozwe na LOVE 😊😊😊..Najua mpo mlio fresh Kuna wengine are too judgemental
Heaven Sent shkamoo[emoji23]
Kwanini unanicheka??
Ila kweli aisee, binafsi nilikua mlokole haswa tena haswa, ila ukitoka nje ya box kimawazo inagundua mengi sana na kupelekea kujiona mjinga hivi!
Nilipata wivu ukweliukweli[emoji85]Marahaba. Nasikitika tu ulivyoanza kulia kisa hujatagiwa. Nyie last borns
Huko ulikotoka ukaenda sasa ndio kwa kijinga.Ila kweli aisee, binafsi nilikua mlokole haswa tena haswa, ila ukitoka nje ya box kimawazo inagundua mengi sana na kupelekea kujiona mjinga hivi!
asije akajitwalia zigo.....we are brothers[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Unamsagia kunguni [emoji28]
kaka mdogo wa mahondaw nimempenda sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....niache mimi NIMUOWEKuoa ingekuwa rahisi hivyo bro si kila mtu angeoa[emoji1787]
[emoji28][emoji28][emoji28] we are brothers never be exited anymoreasije akajitwalia zigo.....we are brothers[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Jana sikuingia sana humu, rudia!Najiandaa kwenda Mbinguni
Yesu yupo kutuandalia makao huko.
.....
Niliselfika jana Eli,hukuona?
copy that sir.....[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji28][emoji28][emoji28] we are brothers never be exited anymore
Ipo juuJana sikuingia sana humu, rudia!