Hamna labda picha tu...masingo faza tupo vizuri kwenye kuleaaMsalimie Trevor
Mbona kama Umepungua mkuu
Ntakufundisha kuwa huru na gauniBasi huwezi amini mie nakuwa huru zaidi nikivaa pensi na suruali kuliko magauni au sketi![]()
Kabisa wiiii.. wamebarikiwa sanaKwenye ukarimu wasukuma hawana mpinzani they are good people!!!mnooo nawapa A plus
mapinduzi daima.umeamkaje rafikiDoh siku zinaenda balaa Asante rafiki nawe pia enjoy your mapimduzi day?
Niko njema sana rafiki hofu ni kwako wewe ulie mbali!mapinduzi daima.umeamkaje rafiki
Unaandika capital T kila mahali au naona vibaya??? Ila mwandiko unafaa kuniandikia barua!
Kashaija jana nilifika katavi naona barabara safi kabisa .. kwenye lile pori la kutokezea mpanda kuna sehemu ilikua mbaya sana walirekebisha mwaka jana kwa kuweka lami. Sijajua ya huko mbele kuelekea sumbawanga na mbeya ikoje!Unaandika capital T kila mahali au naona vibaya??? Ila mwandiko unafaa kuniandikia barua!
Siwezi kuandika small letter yakeUnaandika capital T kila mahali au naona vibaya??? Ila mwandiko unafaa kuniandikia barua!
Karibu sana, ukifika Mbeya nishtue twende Mbeya pazuri tupate kitimoto roast (ingawa mie sio mlaji)Kashaija jana nilifika katavi naona barabara safi kabisa .. kwenye lile pori la kutokezea mpanda kuna sehemu ilikua mbaya sana walirekebisha mwaka jana kwa kuweka lami. Sijajua ya huko mbele kuelekea sumbawanga na mbeya ikoje!
Haaa ebu jaribu.Siwezi kuandika small letter yake
Ipo tofauti kidogo na capital letter yake ambayo huwa naimaanisha mimi.Haaa ebu jaribu.
Asante sana mkuu ngoja nicheki ratiba hapa will notify you!Karibu sana, ukifika Mbeya nishtue twende Mbeya pazuri tupate kitimoto roast (ingawa mie sio mlaji)

Like juiceWine ni juice au ni pombe?

Safi kabisaa nakuaminia sana mkubwa T 1990 ELY