Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

The only symbol of superiority I know is kindness[emoji176][emoji176]View attachment 2077516
[emoji120][emoji120]
Screenshot_2022-01-11-22-22-39-1.jpg
 
Lengo langu kuu kwa mwaka huu ni kuwa karibu na Mungu.
Mungu na Anisaidie [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
***********
20220101_164109.jpg

[emoji445][emoji445]NIKURUDISHIE NINI BWANA
Na Mch. Mbarikiwa Mwakipesile
[emoji445][emoji445]

Mimi nikurudishie nini Bwana
Kwa wema na fadhili zako ulizonitendea

Umenilinda mwaka huu
Umeilinda familia yangu
Tumekulipa nini Bwana
Mpaka ututendee haya

Angalia uliyofanya kwangu Bwana
Mpaka nikawa hivi
Nimelipa nini kwako?

Lakini nakaa najiuliza
Naweza kukulipa nini Bwana
Ili kitoshe kwako
Ninachotoa ni moyo wangu
Utende mema kwako
Ndiyo zawadi pekee niwezayo kukupa....
.....................​
[emoji443][emoji445]
 

Attachments

Lengo langu kuu kwa mwaka huu ni kuwa karibu na Mungu.
Mungu na Anisaidie [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
***********
View attachment 2077570


NIKURUDISHIE NINI BWANA
Na Mch. Mbarikiwa Mwakipesile


Mimi nikurudishie nini Bwana
Kwa wema na fadhili zako ulizonitendea

Umenilinda mwaka huu
Umeilinda familia yangu
Tumekulipa nini Bwana
Mpaka ututendee haya

Angalia uliyofanya kwangu Bwana
Mpaka nikawa hivi
Nimelipa nini kwako?

Lakini nakaa najiuliza
Naweza kukulipa nini Bwana
Ili kitoshe kwako
Ninachotoa ni moyo wangu
Utende mema kwako
Ndiyo zawadi pekee niwezayo kukupa....
..................................​
Umenilinda mwaka huu
Umeilinda familia yangu
Tumekulipa nini Bwana
Mpaka ututendee haya[emoji1545][emoji1534]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3577][emoji3577][emoji3577] Wasukuma ni hatareee.... Mpo vizuri mnoooo mnoooooooo! Huo ugali wa mtu mmoja sio!! [emoji12][emoji15][emoji15]Mbona mnataka kuninenepesha tenaaaaa jamani Nina oparesheni maintain- mwili mjuee !
Kwenye ukarimu wasukuma hawana mpinzani they are good people!!!mnooo nawapa A plus
 
Mzee wetu Cal. Mika Metili (78) akiwa na mkewe mpya (27) ktk ndoa iliyofungwa KKKT USH WA ILBORU 09.01.2022

Walianza na utaratibu wa kurudi kundini na kibatiza mtoto wao wa miezi 7.

Mke wa kwanza wa Col. Metili alifariki 2021 kwa tatizo la upumuaji.

Tuwatakie ndoa njema na amani tele mzee wetu Mika na mjukuu wake huyu!

Vijana mmelaaalaaa,.laaalaaa..laaa!!!View attachment 2077421
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom