Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,192
- 183,008
Kigoma wanapenda sana hilo neno!hahaha,mwaego ni lugha ya wapi?
Kigoma wanapenda sana hilo neno!hahaha,mwaego ni lugha ya wapi?
waoh.ngoja nijiandae rafiki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] Rafiki wewe nimesalute [emoji119][emoji119] ! Ngoja nikalale tu sasa umekataa kutuma nafanyeje sasa!
Muwe na Usiku mwema wapendwa!View attachment 2077478
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hilo limeshaisha....
ooh sawa.ndo maana nakukubali rafikiKigoma wanapenda sana hilo neno!
hahahahaBado sijasinzia rafiki fotoa utupie!
😜😜😜😜😜hahahaha
rafiki kipenzi nitakuchelewesha.fotographa yuko njianmtu chake nisubirie??
Jamanii! Haya ngoja nilale sasa Kesho!rafiki kipenzi nitakuchelewesha.fotographa yuko njian
Wamepewa majina ya NEON sio Roboti kwani wataweza kujisimamia wenyewe na kufanya kazi kama binadamu wa kawaida ikiwemo kusoma taarifa ya habari, kuwa mwalimu, mshauri wa masuala ya fedha, msimamizi wa mazoezi (gym master) na waigizaji
lala unono rafiki.Uote vzr.mungu akulindeJamanii!!? Haya ngoja nilale sasa Kesho!
neon .aeon.sophia. hahaha.wazungu kn ki2SAMSUNG NA STAR LAB ZAFANIKIWA KUTENGENEZA BINADAMU WASIO HALISI
Soma - Samsung yatengeneza binadamu wasio halisi wenye uwezo wa kufanya kazi kama binadamu wa kawaida
#JFTeknolojiaView attachment 2077530