Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hawa wanakuwaga hawana mambo mengi.wanatufaa sana sisi tusiotaka usumbufu.sio unakuwa Na mtu anakupindisha Kona kama minyoo fulu makando kando [emoji30]
Ankal
FB_IMG_1641902484865.jpg
 
Hapa panatosha rafiki.. ukituma nashusha kitu usipotuma natuma selfie za mapori yakutosha na leo njiani nimepigaje picha za kutosha matairi ya mabasi!😜😜😜 Mabango ya njiani huko mapori kama yote 🙄😜!
hahahaha
unataka kushusha kitu bila emoj usoni? na mm nishushe kitu kamtu pesono.
 
Sasa je navenye nilikaa mbele kabisa kushoto dirishani weeehh
Shinyanga stand hapo bango halionekani vizuri dereva alikua fastaaa hana muda wa kuremba so ukizembea selfie unapiga hapa inatoka ya kulee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2077471
safi sana.unajua kupiga picha rafiki
 
Back
Top Bottom