Selfika na JF: Snap it. Show it

Imenitokea mimi kupewa connection Na rafiki nikatoboa Na ndugu yangu niliyemwamini akanipiga chini.Wacheni Mungu aitwe Mungu.kwenye maisha yangu yote ya hapa duniania nitakuwa natoa Kwa wahitaji
Kweli ndugu wakati mwingine ni kama maadui fulani hivi, lakini maagizo ya Mungu ni kwamba usijitenge na mtu mwenye damu nawe.
 
Brod darling; mimi mahusiano ya kuishi kimachale yalishanishida; wakinigeuka basi ntayapokeaga hukohuko mbeleni. In the meantime; nimeamua kumwamini Mungu kwa ajili yao.

Unawajua wapendwa vizuri?
Wapendwa wengi wao ni wanafki Na wasengenyaji.nisishanbuliwe Na wapendwa humu ndani ninauhakika πŸ’― Na nilichokiandikA
 
na mimi ni muhitaji naomba usinisahau
Najua unajua ninachomaanisha wahitaji.ninamaisha ya kawaida mnooo lakini kuna watu tunamaisha ya dhiki kabisa hata chakula kununua hatuna huo uwezo.nimeishi kwenye maisha ya dhiki miaka mingi kidogo imepita so ninaelewa wahitaji wanahitaji faraja Na Msaada Kwa kiwango gani.

Vidole havilingani
 
Hanifer Mungu azidi kukutunza mama πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…