Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,735
- 76,363
zote bia,na zote unakunywaHaha kwani safari na balimi zina tofauti gani mkuu![]()
Kumbe Bambalaga na Pestana ni za mtu mmoja? Sasa mkuu mbona nimeambiwa Pestana imefungwa permanently na sasa hivi Bambalaga ndiyo habari ya mjini sasa hao wanafunzi wataenda wapi?Pestana ilikua ya wote kipindi ilipoanzishwa, ila sikuhizi zaidi ya robo tatu ni wanafunzi. Ukiingia utaona vitabia flan vitakavyokufanya ujue kua haupo sehemu ya namna yako.
Ndio maana mmiliki akawaletea bambalaga ambayo wanafunzi ni marufuku. Japo hii inatesa watu wazima wenye looks za ubichi.




Leo sinza imelala sanaaaa.. ndio najirudisha mahala pa kulala nipumzishe fuvu huwezi amini.. nimefika viwanja vyote kuanzia la chalz, board room hakuna makekej3 hii B max ,sinza mori,aliyekaribu ajee
khaHaha mie Ni mtu wa hovyo hovyo tu
Nakunywa ila huyo jamaa ananishangaa mimi kunywa balimi wakati yeye bia yake pendwa ni safari, na balimi na safari ni mtu na Binamu yake.zote bia,na zote unakunywa
napiga bia kadhaa,akitokea mnyama anawindwa fastaLeo sinza imelala sanaaaa.. ndio najirudisha mahala pa kulala nipumzishe fuvu huwezi amini.. nimefika viwanja vyote kuanzia la chalz, board room hakuna makeke
Unanishawishi nitoke tenaa.. maana nimeweka camp hapa bluebird karibu sana na hapo.. hapa nimevua viatu tuu.. soksi zipo miguuni 😂😂😂napiga bia kadhaa,akitokea mnyama anawindwa fasta
uko vzrNakunywa ila huyo jamaa ananishangaa mimi kunywa balimi wakati yeye bia yake pendwa ni safari, na balimi na safari ni mtu na Binamu yake.
hapo mbn karibu tu...hukupita pita hapo meeda ?Unanishawishi nitoke tenaa.. maana nimeweka camp hapa bluebird karibu sana na hapo.. hapa nimevua viatu tuu.. soksi zipo miguuni 😂😂😂
Meeda ishajifia, nimekuja hadi 5N wamefunga kabisa penyewe mida hiii... Jumatatu huwa jau sanaaahapo mbn karibu tu...hukupita pita hapo meeda ?
mimi naenda chaka za watuhumiwa leo tisa kamili nikabidhi lindo hmMeeda ishajifia, nimekuja hadi 5N wamefunga kabisa penyewe mida hiii... Jumatatu huwa jau sanaaa
😁😁😁 kabizi lindo, mie bado natunga sheriamimi naenda chaka za watuhumiwa leo tisa kamili nikabidhi lindo hm
hahaha..namalizia malizia hapa😁😁😁 kabizi lindo, mie bado natunga sheria
Unamalizia nini?hahaha..namalizia malizia hapa