Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
Hatupambani na kilichoshindwa.. ni swala la kukielewa tu na kuelewa position yako.. ukikisoma hiki kitabu kuna vitu unaweza baki unachekaaHiki sijakisoma aisee. Nitakiweka kwenye list ya vitabu vyangu mwaka huu. Title tu inakupa mzuka wa kupambana na Shetani






