Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,248
Ndiye mwenyekiti wetu malast bornsDaddy akihusika nalegeza msimamo

Ndiye mwenyekiti wetu malast bornsDaddy akihusika nalegeza msimamo

👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿Baada ya siku ya kaisari kwisha.. tunachapa uji wa watoto.. na kwenda kulalaaaa 😁😁😁😁View attachment 2075970
OhoooNdiye mwenyekiti wetu malast borns![]()
Nakupendaga sana dear heavenNimecheka. Ila if you bag yourself a good man now.....(uning'ate sikio)
Yeah huu ni muda wako wa ku-add value kwenye maisha yako. Una ndoto, maono na matamanio yako; ndiyo muda wenyewe sasa. Kesho ukishakuwa na familia; ulichokifanya na kukijenga leo ndiyo kitakuja kukusaidia huko mbeleni. Unaweza ukaja kulazimika kuacha kazi/biashara, kwa sababu ya familia. Ongea thamani kwenye maisha yako sasa...
Above all; ukishaolewa, mnaanza kuishi maono ya mume sio ya kwako tena. Atalitimiza kusudi lake, huku wewe ukiwa msaidizi wake mkuu. Mchungaji wangu alikuwa anatusisitiza sana tupambane angali tukiwa mabinti; kuna muda ukiwa na watoto hata muda wa kuomba vizuri huupati. Hata kuombea watoto wako, waombee kuanzia leo kabla hata hawajaja. Akiba yake itakusaidia sisi utakapopigwa na hata hiyo nguvu ya kumuombea huyo mtoto ukaikosa.
Alikuwa anatuambia. Kuna aina 3 za wanawake waliofanikiwa
1. Ambao hawajaolewa
2. Walioachika/kufiwa.
3. Waliofanikiwa kabla hawajaolewa
To be continued.....
Binamu come this way!!!!Safi Binamu, hili jina la Binamu unanikumbusha warumi tena nimekumbuka ngoja nikupm
Sema tu ukweli kuwa ni la mbogamboga.🤣🤣🤣 Hapana kweli.
Gauni mubashara kabisa la kitumishi


...
Nakupendaga sana dear heaven
Tobaaaa,Jaba nilitaka nikuchezee kamchezo fulani ka kukupigia simu, bahati yako.
Hakuna mwenye haki kumzidi last born..Yaniii
Nikitulia hela zitakuja kweli??Eeh basi kaa tu kwa kutulia, then mwamini Mungu.
Anne umeanzaHakuna mwenye haki kumzidi last born..
Hilo si la kujadili😀
Ngoja nakuja kuungwa mkono na last born wenzangu🤣🤣😂😂😂Anne umeanza
Oops sorry typing error! I meant nishaelewaelewa au olewa![]()
Unatu contrdict sisi matagaUmemuona huyu kimbaombao?View attachment 2074721View attachment 2074722
Baba mtumishi tulime mbogamboga,hakuna namna![]()
Nimeliona sasa hiviSema tu ukweli kuwa ni la mbogamboga.
Chini ya ile picha nimeweka nyingine full iliyojaa mbogamboga.