Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ah nikiwaonaga hata wakubwa wapo nyumbani basi hata siogopi yaani.

Sijui ana mpango,sijui hana hata sijui ila ana katoto kake karafiki kangu sana.
Ndio naishi naye hapa mjini.
Inategemea wanakaa nyumbani kwa sababu gani na malengo gani. Mfano sisi kwetu (mfumo wa wazee wetu); binti huruhusiwi kwenda kupanga nje, unless umepata kazi mbali na nyumbani (mkoa mwingine). Utakaa hapo ufanye maisha yako na maendeleo yako; hadi siku utakapokabidhiwa cheti cha ndoa kutoka kanisani, ndiyo utatoka sasa kwa baraka zote za rohoni na mwilini. Ukipatia mimba nyumbani sasa...... (nitamalizia siku nyingine).

Uombe tu Mungu isije ikawa ni tendency mabinti hadi mnazeeka hamjaolewa. Mnajikuta mmejaa wote home hadi 40s+
 
Hata sisi huwezi panga bila sababu za msingi.

Sema alijikoroga hapo katikati,alipewa ka uhuru akapishana na sisy alikuwa anakaa naye akaenda kupanga.
Akarudisha mpira kwa kipa nyumbani baada ya wazazi kusogea mjini.

Ndo naishi naye huku,tumepanga naye.
Sema nampenda mpambanaji sana.
Kabla ya huku tulikuwa naye Mbeya nyumbani ,,,,tumebaki wawili tu baada ya shule nikarudi kujoin timu.
 
Hallelujah

Siku yenyewe sasa ya mtu kuvaa shela; wala sitohitaji kujitambulisha; utasema tu hakika yule ndiyo Mama Mchungaji buana; Nigeria sio Nigeria, Mwakaleli sio Mwakaleli; yaani

Wala kaache tu(hii kauli imejaa unyenyekevu mno)..

Tunakataa machozi Kwa namna zotesema hallelujah mtumishi wa Bwana.Ila kabadilike tu maana wanaume hawataki kuendeshwa)

Chaubishi Saint Anne ukipata mchumba niweke kwenye list ya michango Mdogo wangu
 
Mungu ni mwema; anatupa nafasi tena na tena za kurekebisha tulipokosea.

Back
Top Bottom