Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ah nikiwaonaga hata wakubwa wapo nyumbani basi hata siogopi yaani😁.

Sijui ana mpango,sijui hana hata sijui ila ana katoto kake karafiki kangu sana.
Ndio naishi naye hapa mjini.
Kama anakatoto kake safi sana lakini pia si salama saaana kwako wewe ni liroho hilo..jaribukuliweka hilo swala katika maombi tena ikiambatana Na mfungo.

Uko Na mfano mbaya Na mbaya zaidi unaona ni sawa.

Saint Anne jaribu kuangalia hili swala Kwa macho ya rohoni
 
Kama anakatoto kake safi sana lakini pia si salama saaana kwako wewe ni liroho hilo..jaribukuliweka hilo swala katika maombi tena ikiambatana Na mfungo.

Uko Na mfano mbaya Na mbaya zaidi unaona ni sawa
Huwa namuombea sana na najiombea na sitamani nipite huko ..japo hivi karibuni nimekuwa nikifunuliwa habari njema juu yake
Uzuri kule juu kuna sheet za mfano,,dada yangu mlezi(si huyu) ndio mfano wangu.

Ila kwa jinsi alivyofight na katoto acha tu.
Sasahivi kamekua kila mtu anakatamani..kalivyokuwa tumboni mikono ilijaa.
 
Hii ni habari njema sna Na imenipa furaha
 
Back
Top Bottom