Njia nitumiayo kujibiwa haraka ni giving kwa mtu mwenye some need na mie.. kama nahitaji gari au kama nahitaji kiasi flani cha pesa huwa natoa hadi sent yangu ya mwisho.. huwa napigika kwa mda ila huwa najibiwa haraka sanaaa.. na kwa kitu kilicho bora for me ina work sana hii