Usifanye hivyo mahondaw jaman, sorry π₯π₯π₯πππ Nimenuna!
βΊοΈβΊοΈ usighairi jamani mahondaw pls pls sorry.. tuliteleza kidogo tu.. unataka zawadi gani tukuandalie ukifikaBembeleza vizuri!! πππ
Naona nyuma hapo vyumaaa vya maana.. πππ
Sio zanguNaona nyuma hapo vyumaaa vya maana.. πππ
@mahondaw Barabara ya kutoka Tabora sijui Uyui mpaka Chunya siyo nzuri. Na hasa kipindi hiki Cha mvua Kuna sehemu maji yanatiririka barabarani. Bora uzunguke Dodoma- Iringa - Mbeya.Tupange basi, nikupeleke hadi mwanza.. then mwanza hadi mbeya![]()
Huki kote nitampeleka akitokea mwanza ππππ.. ya kupitia Sikonge vipi?@mahondaw Barabara ya kutoka Tabora sijui Uyui mpaka Chunya siyo nzuri. Na hasa kipindi hiki Cha mvua Kuna sehemu maji yanatiririka barabarani. Bora uzunguke Dodoma- Iringa - Mbeya.
Safari njema mwenyezi MUNGU asaidie usafiri salama mpendwa
Sasa na wewe Shimba Ya Buyenze kwa Nini unaishi peke yako kwenye nchi iliyojaa rasilimali mpaka zenyewe zinatafuta wa kuzimiliki?Wakuu.
Japo hatujuani lakini tunaishi kama ndugu. Na hakuna kitu cha thamani kama kuombewa na kutakiwa mema na mtu usiyemfahamu. Maombi ya aina hii huwa na nguvu sana kwa sababu huwa ni maombi ya kweli yasiyo na ajenda wala mawaa.
Napenda nichukue nafasi hii kuwashukuru wote mlioniombea na kunitakia mema; na uponaji wa haraka. Japo Covid hii (tena Delta mwenyewe) ilinijia kwa nguvu sana lakini kwa maombi yenu na upendo wa Mungu nimepona. Bado tu kakikohozi ka mbali lakini hata nikikimbia kifua hakiwaki moto kama hapo kabla...na viuchovu uchovu tu vya hapa na pale. Kwa jina la Yesu naamini kuwa nimeshapona
Sikuweza kumjibu mmoja mmoja lakini kwa umoja wenu napenda sana kuwashukuru mno 9.8ms squared, Heaven Sent, mahondaw, Makiwendo, Saint Anne, T 1990 ELY, Tinsley, Gregory 2000, Karma, Kashaija72, Chakorii na mawardat.
Asanteni sana wapendwa na Mungu Awalinde na kuwabariki sana. Hapa nilipo ni kama naishi peke yangu lakini kupitia kwenu nilijiona kama nina jeshi kubwa la watu wanaoniombea na kunitakia mema.
Hebu Mungu Akatubariki sote na mwaka huu mpya ulioanza ukawe wa mibaraka tele; na kila mmoja wetu akaweze kutimiza ndoto zake na malengo aliyojiwekea.
Nawashukuru sana
View attachment 2075249
Hahaha....Wewe jamaa mchochezi sanalala unono.. badae ukiamka, mcheki T 1990 ELY wana mwanza tumempatia zawadi zako maalumu..
Salama kabisa mkuu.. usituangushe kabisaa, zawadi zetu ziwafikie walengwaaa πππHahaha....Wewe jamaa mchochezi sana
Habari za asubuhi mkuu
Vizuri sana kama ni salamaSalama kabisa mkuu.. usituangushe kabisaa, zawadi zetu ziwafikie walengwaaa![]()
Hahaaaaaa kanyageni lami mfaidi Kodi zenu. Mkifika Iringa probably saa nne au Tano usiku nawapokea mnapumzika.Huki kote nitampeleka akitokea mwanza.. ya kupitia Sikonge vipi?
πππ safii sanaa, ni chap tu Iringa.. mwendo wetu ni 200 to 240kmh.. tunataingia mapema zaidi ya hapo.. za kubrashia anashika abiria wangu..Hahaaaaaa kanyageni lami mfaidi Kodi zenu. Mkifika Iringa probably saa nne au Tano usiku nawapokea mnapumzika.
Amen mkuu shukrani π!Safari njema mwenyezi MUNGU asaidie usafiri salama mpendwa
AmenWakuu.