Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Kabanana kidogo.tuma nitamtunzia tuDadii ako ametingwa na wagonjwa lol!! Wajuba watajaa hapa aseeh!
Kabanana kidogo.tuma nitamtunzia tuDadii ako ametingwa na wagonjwa lol!! Wajuba watajaa hapa aseeh!
😆😆😆😆 ndio dawa ya wanga.. kila wakikusoma kwenye radar zao husomekiiBora kutokueleweka kama maji.hujui yamekaa ama yamesimama
🤣🤣🤣🤣🤣😆😆😆😆 ndio dawa ya wanga.. kila wakikusoma kwenye radar zao husomekii
😁😁😁😁 cheque simple tu hiyo acha nimuambie PS aandae hapa chapAchana Na picture..drop that cheque please
Kila wakicheki wanakuona kama upo single, kama double kama triple kama ume dead vile hadi wamazima zaooo 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
Jamani 😁😁Lala, nitakusimulia akituma 😆😆😆
Asante.. tuachane nahayo wakuu sio vizuri kumsema mtu as mmeshaachana! au ngoja mi niwaache mkimaliza mnistue 🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶 tuendelee kuselfika!Jasiri kuliko simba la jike 😊😊😊, namuelewaga na ndio inavyotakiwaa
Haya ndo maneno sasa😁😁😁😁 cheque simple tu hiyo acha nimuambie PS aandae hapa chap
📌📌📌🔨🔨🔨Hahahaaa.... Ukijiamini ukajikubali maisha burudani tu..! Hebu tuyaache hayo 2022 sitaki maneno mingi kabisa!
Kausingizi ka mwanza katamu sana kuanzia mida hii sasa.. 😆😆😆Jamani 😁😁
✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️📌📌📌🔨🔨🔨
Mchawi akikuamulia hutoboi..kuna watu wako Kwa ajili ya kuharibu mambo ya watuKila wakicheki wanakuona kama upo single, kama double kama triple kama ume dead vile hadi wamazima zaooo 😂😂😂😂
Naona kama sielewi ngoja nilale kwanzaKausingizi ka mwanza katamu sana kuanzia mida hii sasa.. 😆😆😆
Ukifika tu, ni burdan.. itapendeza ukabaki mwanza najua utahamia kabisaaAsante.. tuachane nahayo wakuu sio vizuri kumsema mtu as mmeshaachana! au ngoja mi niwaache mkimaliza mnistue 🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶 tuendelee kuselfika!
😆😆😆 mbona mie wachawi washa fail aseee.. sisiomeki.. ni rahisi. kutabiri color ya kinyonga ila sio mchawi kunisomaaa.. walisha fail hapo.. nahisi hadi leo hata napokaa hapajulikani 😂😂😂😂Mchawi akikuamulia hutoboi..kuna watu wako Kwa ajili ya kuharibu mambo ya watu
Mchawi si lazima aroge! Naona unaniroga asubuhi na mapema aa🤣🤣!Mchawi akikuamulia hutoboi..kuna watu wako Kwa ajili ya kuharibu mambo ya watu
lala unono.. badae ukiamka, mcheki T 1990 ELY wana mwanza tumempatia zawadi zako maalumu..Naona kama sielewi ngoja nilale kwanza