Selfika na JF: Snap it. Show it

Wanaume wazuri wazembe.
Wazembe halafu wana tabia ya kujisikia fulani hivi. Na ndiyo hao wanaoongoza kwa kuchagua wanawake na wanaamini kuwa kila mwanamke anawataka na anawashobokea kumbe wangejua wengine tunawachukulia kama vivulana ambavyo havijabalehe.

Dooh naimagine eti kamwanaume kacute ndiyo kananioa mimi halafu na kenyewe kanajiita baba wa familia nyieee mbona ngumu kumesa. Nitakaonea bure tu jamani maana nitakuwa nakaona kavulana hiyo nafasi inawafaa wanaume wenye sura za kiume.
 
Halafu ukute kanakupelekesha aloo 🀭si katatandikwa ngumi za kutosha hadi kachubuke.


Sijui wanajionaga vipi yaaniπŸ˜‚,
Japo siyo wote.
 
Kama mama alivyomchamba mtu juzi kati flani hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…