Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ulikataa kwenda Malaika? Basii stop telling people you were in Mwanza. Lol

Me Nililala pale, umaskini mbayaa mdogo wangu. Nilitamani kusikuche ' breakfast nilitamani nikaazime tumbo huko nje.
😁😁😁😁... Chimbo hilo.. kuna kipindi hadi walinikalili wakahisi nafanya biashara ya madini.. kama mkakati tu.. wa mda mrefu 😁😁😁
 
Jipange mwaka mzima, ukakae wiki..
utafurahii.. napapenda sana.. njoo tuta share chumba mwezi ujao 😂😂😂

Kwa sie wabongo lazima ujiachange kidogo ukitaka kula holiday.. ama nasema uongo Depal View attachment 2073611
Saint Anne kulala pale ni laki 3 na 20.
Chips plain ndogo ' honestly huwezi shiba sh. 8000 ' papper stake unamudu banaa, tilapia unamudu.

Jipange mwaya ' January to December unajaza kibubu cha kutosha kuji'enjoy kabla hujarudi kwa muhindi kuendelea kupigika.
 
😊😊😊 Na ndio hata wazungu wengi hufanya hivyo.. anakuwa na mkakati kwamba mwaka huu naenda sehemu flani.. anatunza kiasi kile kile cha pesaaa.. hapa mtu unajipanga mwezi wa sita naensa sehemu flanii unaweka kibubu.. ungekaaa executive ndio 👌👌👌👌
 
Ulikataa kwenda Malaika? Basii stop telling people you were in Mwanza. Lol

Me Nililala pale, umaskini mbayaa mdogo wangu. Nilitamani kusikuche ' breakfast nilitamani nikaazime tumbo huko nje.
aaaah wapi wee, sasa naenda huko kufanya nn? Akati cna interest nako,

Niliwahi pelekwa johari rotana, wallah nlibaki kuduwaa na kuwa bored tyuuh, mwshoe nlijiona nimeharibu pesa na muda wa mtu.

Sitaki mie nakuwaga muwazi tyuuh, kuliko nionekane msumbufu na mtu wa tamaa,
 
Hahaaha unalijua gubu la wananzengo lakini; utawasikia tu "mmh kweli waganga wa kweli wapo, huyu dada wa kuolewa na HB hivi, hata hawaendani". Shwain zao
Nasikia mkitembea nao njiani mnasalimia Kwa kuniamni sn..Ndugu yako Saint Anne siyo chaguo lake

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom