Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]... Chimbo hilo.. kuna kipindi hadi walinikalili wakahisi nafanya biashara ya madini.. kama mkakati tu.. wa mda mrefu [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaaah wapi wee, sasa naenda huko kufanya nn? Akati cna interest nako,

Niliwahi pelekwa johari rotana, wallah nlibaki kuduwaa na kuwa bored tyuuh, mwshoe nlijiona nimeharibu pesa na muda wa mtu.

Sitaki mie nakuwaga muwazi tyuuh, kuliko nionekane msumbufu na mtu wa tamaa,
Hizi sehemu kuna mawili mkiwa partner mna renew mapenzi kwa mdaaa.. na ukiwa alone una enjoy zaidi.. unatoka mpyaaa hasa kama mkaaji wa zaidi ya 5days.. unatoka akili imesimama..
 
😊😊😊 Na ndio hata wazungu wengi hufanya hivyo.. anakuwa na mkakati kwamba mwaka huu naenda sehemu flani.. anatunza kiasi kile kile cha pesaaa.. hapa mtu unajipanga mwezi wa sita naensa sehemu flanii unaweka kibubu.. ungekaaa executive ndio 👌👌👌👌
Nimejifunza vingi wallaqh.


Ningekaa executive??? Mshahara wangu wa miezi 3 😂 weeeeh em niache.
Tena nifanye ni'forget WiFi yao, inanifanya niimiss Mwanza.
 
Saint Anne kulala pale ni laki 3 na 20.
Chips plain ndogo ' honestly huwezi shiba sh. 8000 ' papper stake unamudu banaa, tilapia unamudu.

Jipange mwaya ' January to December unajaza kibubu cha kutosha kuji'enjoy kabla hujarudi kwa muhindi kuendelea kupigika.
Akaaaaaaaah sitaki hiyo hela yote ya nn? Mweeeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimejifunza vingi wallaqh.


Ningekaa executive??? Mshahara wangu wa miezi 3 😂 weeeeh em niache.
Tena nifanye ni'forget WiFi yao, inanifanya niimiss Mwanza.
😁😁😁 Executive ndio maisha.. unajiweka kule siku zako tanoo.. unatoka safiii.. hela zinatafutwa tu 😂🤕😂😂.. wecheni ubahiri kama wa Saint Anne
 
Back
Top Bottom