Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo kna mtu litamkuta jambo, kashaanza kujiliza oooh leo siko sawa, ila fresh ucjar tutajua hapo hapo, sasa atajua hajui. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣! Kila la kheri shooo!!! Kijana aache visingizio hahaha!! Ooopsss nimesahau nimesema leo sitii menoo 🤭🤭🤭
 
Ma nakula ila najizuia kwa lazima sababu nanenepa tumbo, mashavu na miguu inajaa ' sasa hii ni mbaya kwangu sababu kazini muda mwingi nakaa.

Em tumia dawa za minyoo kwanza...
Ungekuwa jirani yangu ningekuwa nakuamsha kila siku asubuhi ukaruke kamba..unene na kitambi siyo poa kbs

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Hee!
Sasa si mshahara wangu wa mwezi mzima ntautafuna siku moja[emoji134]
Jipange mwaka mzima, ukakae wiki..
utafurahii.. napapenda sana.. njoo tuta share chumba mwezi ujao 😂😂😂

Kwa sie wabongo lazima ujiachange kidogo ukitaka kula holiday.. ama nasema uongo Depal
Screenshot_20220108_165403.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatzo sina interest na mambo hayo, nlikataa kwenda hapo, kumbe kuna maajabu sana hivyo?
Ulikataa kwenda Malaika? Basii stop telling people you were in Mwanza. Lol

Me Nililala pale, umaskini mbayaa mdogo wangu. Nilitamani kusikuche ' breakfast nilitamani nikaazime tumbo huko nje.
 
Back
Top Bottom