Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Yaani kila mtu amtolee macho ,yeye binadamu tulivyo na maneno unasemwa mchana kweupe .Ndio mwanzo wa kuishi kwa mawazo[emoji23]
Wazuri sana hawafai
Yaani kila mtu amtolee macho ,yeye binadamu tulivyo na maneno unasemwa mchana kweupe .Ndio mwanzo wa kuishi kwa mawazo[emoji23]
Wazuri sana hawafai
Mweee🙈🙆🙆Na ulivyo mbishi, ukanitesee mdogo angu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akaaaaah m1 ndo dereva, mwungne abiria ko lazima afikishwe mwisho wa safari.Tusichoshane, kilimani kila mtu afike kwa mbinu zakeee.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaanza kusema umemroga😂Yaani kila mtu amtolee macho ,yeye binadamu tulivyo na maneno unasemwa mchana kweupe .
Itapendeza zaidi.Hata ukitaka usiku wa manane utapikiwa.
Ni wewe tu yaani.
Leo Nipo bize harusini shoo!!Leo weekend wapi maeneo? Wengine tunajiandaa na match ya ugenini. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni wewe tu.Tumbo dogo kuliko lako?? 😂 mbona noma na nusu... Kwahiyo kitambi ni mimi tu?
Jiandae kupokeaItapendeza zaidi.
[emoji23][emoji23] umemuwekea limbwataWanaanza kusema umemroga[emoji23]
Huo ni ubinafsiii.. sio lazima wote mpate raha, mmoja akipata inatosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akaaaaah m1 ndo dereva, mwungne abiria ko lazima afikishwe mwisho wa safari.
Ma nakula ila najizuia kwa lazima sababu nanenepa tumbo, mashavu na miguu inajaa ' sasa hii ni mbaya kwangu sababu kazini muda mwingi nakaa.Hivi wewe sahivi umefika ngapi?
Mimi naona 55 tu ninaisikilizia redioni kwa sasa kwa uvivu huu wa kula.
Wee huko rock city umekula sana sato na samaki wengine, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Natia aibu basi tu najikaza.
Coca umeanza 🤣🤣🤣🤣! Leo sitii neno!🤐[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kimeumanaView attachment 2073589
Muulize HM hapo Malaika palivyo 😂 ugali mdunchuuu efu 8, mshahara lazima uhamie tumboni.Kwahiyo umeenda kububuna mshahara wote ukauhamishia tumboni
Watu wabaya sana[emoji23][emoji23][emoji23] umemuwekea limbwata
haiwezekani kijana mzuri hivi aoe mwanamke kama yeye .
Hahahah uwiii ' me uniheshimu tu maana za kubadilishia uber zipo 😂Hogereni wenye vitambi 😀😀😀..
Mnazawadi zenu hapa.. tukianza na Depal inaoekana chako kitakuwa kikubwa zaidiView attachment 2073602
Weeeeeee 🏃🏃🏃🏃weka hiyo hiyo ya tambi..
Auntie kuna kijana msupu huku utadhani ameshushwa kutoka juu Mbinguni .Auntie kunani ![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]