Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,499
- 235,200
Wengine kufa kubudu hatuwezi,tunajikuta tusharopoka.Sipendi siasa wala kujibishana Na mtu Na ndio maana hunikuti nikisema chochote unaweza kujua sipitiagi hayo majukwaa ee[emoji16][emoji16]nayapitia Kwa ukaribu mkubwa mno lakini kimya kimya nikiguswa sana nitalike tu.
Ubishi kama wa Saint Anne aise sijawahi kubarikiwa nao[emoji3][emoji3]