Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mdada nikiona anakitambi akili inahama kabisaaa.. ila wenye vitumbo kama rula kama nyoka nawaoneaga sana huruma.. nahisi watakuwa wagonjwaa eeeh [emoji849][emoji849][emoji849]
Wengine wanakuwa normal, na wengine inakuwa ni tatizo la kiafya. Wacha tumshukuru Mungu kwa vitambi vyetu
 
af wakimaliza shule mapenzi yote kwenye mishemishe au mume!? mi nataka full time partnership..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
FB_IMG_16399386398091360.jpg
 
Wakati yeye ana katumbo kadogo kiuno kimejikata hicho na hapo tayari ana watoto.
Wenzangu na mimi bado hatujazaa ila matumbo yashamwagika..mazoezi muhimu,tukatae vitambi.
Watu na miili yao jamani , mtu unazaa hadi na bado upo na flat hivyo .
Yaani nikiwaza hichi kitambi nacheka maana kila namna navyo jitahidi kitoke wapi
 
Back
Top Bottom