Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Tena ni tatu siyo mbiliHahaha picha hazikuwa mbili kwani
Uliupata ule wimbo ?
Mbili vipande,moja full...asije wapiga kamba.
Tena ni tatu siyo mbiliHahaha picha hazikuwa mbili kwani
Uliupata ule wimbo ?
Shemela mbona unanijaza kama nyoka kwa Eva?Ntumie pm basi shemela mi nawewe bana tumetoka mbali toka Magu hajaingia madarakanimpaka kafariki





Hahahahah sasa mbona kama mie ntapata tabu sana maana mie kama sina safari ya msingi sitokagi home😅Aarghh mwanaume kushinda shinda hom hapana!!! Kurudi Inategemea
Eti mbona yeye anaweweseka 2025Hahahahhaaaahh watu wana majibu jamani daah






Nichoree basi nimuonekweli!? awe kama yule wa kule kwa siku ile..
Shemela bana hio ni kwa heshima tuliojijengea humu thats for happy new year! Tenda miujiza pmShemela mbona unanijaza kama nyoka kwa Eva?![]()
Ndiyo ushangae sasa wenzako hawajitokezi kuku-support kabisaHivi niliona peke yangu eeh zile picha??
Hakuna mwingine aliyeona aje kunisaidia![]()
Khaaaaaaaaaaaaaaa. Ai givu apuTena ni tatu siyo mbili
Mbili vipande,moja full...asije wapiga kamba.



Aisee ile swala nilicheka nikapaliwa kabisa😅😅😅Tuendelee kuupiga mwingi wakereketwa.
Sema siasani kunachekesha...
Kama jana Rais amesema vijana watafute fursa,,mmoja akasema kma vipi watukusanye tusio na ajira watuuze nchi za nje kama mbolea😂😂😂
Haina shida mimi ni jeshi la mtu mmoja.Ndiyo ushangae sasa wenzako hawajitokezi kuku-support kabisa






Usijali shemelaaaShemela bana hio ni kwa heshima tuliojijengea humu thats for happy new year! Tenda miujiza pm
Mkiona Anne sipo selfika mjue nishapigwa mnada huko nchi za nje kama mboleaAisee ile swala nilicheka nikapaliwa kabisa![]()





Aah umeamua tu kunipamba sista ako, basi sawaaaHaina shida mimi ni jeshi la mtu mmoja.
Kikubwa niliona na picha ninazo zote,,,hakuna cha kunikwamisha kuzipamba![]()
Longing for itUsijali shemelaaa
🙄🙄🙄🙄🙄🙄We endelea tu na appointment zako za kumdaka mtu juu juu halafu baadaye uanze kumlaumu![]()
Huo muujiza kuna watu waliusubiri tangu 2019 na ukawapitaShemela bana hio ni kwa heshima tuliojijengea humu thats for happy new year! Tenda miujiza pm



Anayetaka maelezo kuhusu picha,ninayoAah umeamua tu kunipamba sista ako, basi sawaaa

Vinawapendeza sana.. mvitunze vizuri vizuri 😊😊Wengine wanakuwa normal, na wengine inakuwa ni tatizo la kiafya. Wacha tumshukuru Mungu kwa vitambi vyetu
Katafute kiti kwanza ukaeLonging for it









